Mbona kimbembe bado? Sherehe mwezi mzima wallahi. Wana usongo balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mambo yana wenyewe haya we yaache tu [emoji16][emoji16][emoji16]Dah siyo kwa diskripsheni dipu namna hiyo! Eti hadi ulaini .. yote kwa picha tu?
ndio maana mungu hasikii kilio chao cha kutaka ubingwa wa premier league.
Tayari kawa femazi. Nasikia IG yake inakaribia folowazi milioni mbili tayari...Hawapewi adhabu ya kutosha hawa ndiyo sababu hawaachi huu upuuzi.
Huo wino wa kwenye magazeti ni sumu. Hakikisha hauuli [emoji16][emoji16][emoji124]View attachment 1115723
Your enemy might be my friend...If you see me kicking the enemy, join me
Badala yake, Hazard atapewa jezi namba 7, aliyokuwa akivaa Ronaldo, ambaye ametimkia zake Juventus kwenye dirisha la majira ya kiangazi mwaka jana.
kicking "the enemy" not A friend/Your friend.Your enemy might be my friend...
I can't kick my friend [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Uzuri hapa huwa hatutukanani. Japo siasa na dini zipo lakini ni kwa kiasi kidogo na tunavumiliana. Tunapokwazana tunawekana kwenye iginoa listi halafu baadaye tunasameheana na mambo yanasonga mbele. Hapa kuna watu wa kila aina - wasomi, matajiri, wajasiriamali, wakulima na wajuzi wa kila mambo. Kiumri kuna vijana wa kuanzia miaka 16 mpaka wazee wa miaka 80 (mimi). Ukiangalia kwa juu juu utadhani kuwa ni uzi wa hovyo hovyo tu lakini ukikaa kwa muda utagundua kuwa kumbe JF yote iko hapa.
Karibu sana Min 92.
(Na mimi ndiye mtunza kumbukumbu na mafaili yote ya uzi huu. Ukitaka kujua jambo lolote hapa niulize)