D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Men when you build a house let your wife decorate the ceiling, she has seen more designs than you".
Video hii hapa. Natumia App na sijui kama itaonekana. Labda kwa wanaotumia browser. Askofu kapaniki balaa. Nasikia ana kanisa kubwa na lina satellite campuses nyingi zinaendeshwa na maaskofu wake. Satellite campuses hizi ndo anaziita vioski na anatishia kuwa anaweza kuvifunga vyote...
View attachment 1115300