Na liwake tu kwa sababu hakuna namna...![]()
Dar: Jengo la TANESCO Ubungo linawaka moto
Habari wakuu, Jengo la TANESCO Ubungo linawaka moto. Kikosi cha Zimamoto bado hakijafika. Ni lile jengo lililobomolewa Upande kupisha ujenzi wa barabara. UPDATES; Moto umetokea gorofa ya nne, tatu, mbili, na moja. Kikosi cha zimamoto kimeshafika na kinaendelea kuudhibiti. Moto hasa ulianzia...www.jamiiforums.com