Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Dar: Jengo la TANESCO Ubungo linawaka moto
Habari wakuu, Jengo la TANESCO Ubungo linawaka moto. Kikosi cha Zimamoto bado hakijafika. Ni lile jengo lililobomolewa Upande kupisha ujenzi wa barabara. UPDATES; Moto umetokea gorofa ya nne, tatu, mbili, na moja. Kikosi cha zimamoto kimeshafika na kinaendelea kuudhibiti. Moto hasa ulianzia...