mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
OrigiiiOyeeeeeee
safi sana...
Umri sasa....
Kuna jamaa kule Florida alikufa katika shindano la kula mende na funza. Akili zao hawa jamaa wakati mwingine wanazijua wenyewe tu. Ila ni ujinga na uthubutu wao huu huu ndo uliwafanya waondoke kwako na kwenda kusikojulikana kuja kututawala. Shwaiiini kabisa !!!
View attachment 1116147