Bonge la goli
Bila ubishi ni FB bora kabisa kwa sasa EuropeANATELEZA TU KAMA KAMBALE [emoji16]
Bila kujali unashabikia timu gani lazima umkubali Trent Alexander Anorld, Mmoja kati ya full back matata kabisa kwa sasa EPL kijana ana miaka 21 tu alipopewa nfasi tu basi hakumuangusha kocha akafanya kweli naam hii ni mara ya pili kucheza fainal ya Uefa champions league anaingia katika vitabu vya rekodi kwa kuwa mchezaji mdogo kufanya hivyo.View attachment 1116179
Mkuu habari za masiku tele
Nilikuwa mpenzi sana wa kuangalia hii michezo ya kijinga, ila ikaja kumuathiri binti yangu mdogo akaanza kuwasaka mende na kuwala. Tangu niibloku hiyo chaneli sijawahi kuiblokua mpaka leo.
FactsMh mkuu mbona anayoyafanya yanaonekana dhahiri
[emoji117]Mshindi wa kombe la dunia
[emoji117]Msimu huu yeye na Messi walikuwa wanachuana kuwania Golden boot
[emoji117]Kanyanyua ubingwa league 1
[emoji117]mfungaji bora league 1
[emoji117]Golden Boy Winner
Kiufundi
[emoji117]Mbappe ana 'pace' kali
[emoji117]High dribbling skills and accuracy
[emoji117]Powerful header
[emoji117]Uwezo mkubwa wa kuwabeat defenders
[emoji117]Uwezo wa kutupia nyavuni kamba za adabu naam Mbappe hacheki na nyani anapokua mbele ya lango 'killer instict'.
[emoji117]akili ya mpira, anafanya maamuzi ya haraka yenye faida kwa timu
[emoji117]all arround no. 9
Mambo yoye haya katika miaka 20 tu na bado anaendelea kukua kisoka katika umri huu Ronaldo na Messi walikuwa bado wanajishauri mara mbili mbili nini wafanye uwanjani.
Big Dog goes wherever he wants to....View attachment 1115986
Naam msimu ndo umeisha hivyo wazee wa Gegenpressing mlistahili hasa baada ya kupindua meza kibabe wazee wa anfield ama kops hili taji mmelisubiri kitambo hasa baada ya kuwa na ukame mmoja balaa, Hongereni sana nilichojifunza toka kwenu ni kwamba Patience, Hardwork forever pay...na kutokukata tamaa, mmewalipa mashabiki zenu kile wanachostahili hasa baada ya kuwa nyuma yenu na kuwasapot kwa muda mrefu hata mlipokuwa mmechacha na kupotea na huu ndio ushabiki wa kweli, You guys will NEVER WALK ALONE.Tunawasubiri 2019/2020.
View attachment 1115989
Kamwene.
June, 2019.
Habari za humu ndani
Salama mkuuSafi kabisa..kwako je?
Hahahaha
kakikombe kama haka ka yangaView attachment 1116048
kabisa. sijui wewe..
Eti Jaguar xjNdinga gani hii kamanda?