Aise andaeitini wa humu wanazingua kwanza inabidi wawe wanatoa shikamoo humu [emoji16][emoji16]Andaeitini hata 20 hajatikisha eti wimbo unamkumbusha mbali. Mbali ya wapi? Where?
Tangu jana nipo bize nataja umri wangu ili wajue kabisa lakini shikamoo hakuna. Sijui tatizo ni nini [emoji16][emoji16][emoji16]Aise andaeitini wa humu wanazingua kwanza inabidi wawe wanatoa shikamoo humu [emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28]Andaeitini??!!!!! Kuna sehemu fulani niliona kama unahitaji tiba mbadala ya... ili ya dedeedeee[emoji443][emoji444][emoji443][emoji444][emoji445][emoji443][emoji444]
[emoji125][emoji125]sijui ni kumbukumbu hazijajimbusha vizuri ?
Habari yako mdada, kwema huko (naamanisha nyumbani) ndugu yangu ?
Najitambulisha kwako,mimi ni Ankoo nipo pamoja nanyi kwa kila raha.
Injoi ze dei[emoji120][emoji120]View attachment 1116600
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].............[emoji444][emoji443][emoji445][emoji443][emoji444][emoji443][emoji444][emoji445][emoji443][emoji444]
Amiin.Kila lenye kheri[emoji120][emoji120]Mfungo tunaenda nao, tunamshukuru Muumba[emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23]
Ahah, mbona amepata upendeleo hivyo?Yes,,bwana Davet ndio katibu mwenyewe,sema ana vyeo vingi hapa,,,mbebishaji mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji818][emoji818]