Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kawaida yangu hii😀😀😀😀😀
Ije mvua jua liwake, iwe kiangazi iwe masika... Kuwa na amani... Amu availabo, enetaimu...[emoji28][emoji28][emoji28]
Aah, anko itakuwa kweli kumbukumbu haziko sawa anko[emoji847]
Nyumbani ni salama kabisa, hofu hapo kwako anko
Nafurahi uwepo wako pamoja nasi anko
Ha haa nilidhani picha itakupa hamu zaidiNilikuwa na mpango wa kula kitimoto leo. Baada ya kuona tu picha hii nimeghairi. Nitakula mchicha na kabichi [emoji16][emoji16][emoji16]
This is great..Now this is a legend [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1116643
Safi umemuona mrembo yule nimeku tag na maana yangu.Yani ni kama nimekuona wewe vile,..
Mambo Hawachi?
Emu nimuone tena.Safi umemuona mrembo yule nimeku tag na maana yangu.