Mmh! Yule hapana Buana 😀 😀Safi umemuona mrembo yule nimeku tag na maana yangu.
Nilidhani unamanisha huyuSafi umemuona mrembo yule nimeku tag na maana yangu.
Hahahaha mimi nakuchagulia vitu kisu hutakiMmh! Yule hapana Buana 😀 😀
Hadi napata kigugumizi kuandika!?
Mambo?
Sio huyu mwengine
Kwani miye Jefrey Dahmer?Ha haa nilidhani picha itakupa hamu zaidi
Salaam jakitoo, habari za kupotea
Siku hizi anaitwa cocoCapii[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Safiii capi, Hujambo?