The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Leo nipo😁... vipi leo utakuepo?
Vipi tena?
Prisca kanitenga siku hizi wala hanisemeshi nami naogopa kumchokonoa kwa kuogopa vitasa. Naona huwa anagugo hayo maneno akitaka kuyatumia...Au Bro kakunong’oneza chemba? [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
De Ligt juma lililopita alitangaza kuwa uvumi juu ya yeye kujiunga na Man United inabidi upuuzwe.

Aisee itakua poa sana, nikisinzia nishtue kwa Jf Call tafadhaliLeo nipo
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ningendako alikua muuza supu sasa kuna kipindi Mbuzi alifia kwake akashindwa kujiongeza hivyo ilibidi mimi na Cole tumpe pindi la maana lakini nashangaa pindi analitumia Capital... eti na yeye anashangaa
Kocha wa Newcastle Rafael Benitez anapanga kusajili wachezaji wawili hivi karibuni kama klabu hiyo itanunuliwa na matajiri wa kiarabu kutoka Abu Dhabi. Wachezaji hao ni mshambuliaji kinda raia wa Venezuela Jan Hurtado, 19, anayechezea klabu ya Argentina ya Gimnasia La Plata pamoja na kipa wa Paris St-Germain Kevin Trapp, 28. (Daily Express)

Bro bro...Bro hiyo nikwasababu tu vyeo vyenu havijatajwa ila kila mtu humu ndani ana cheo chake. Mwezi unaisha huu bro, soon mambo yatakua hadharani
usijali, 😛Aisee itakua poa sana, nikisinzia nishtue kwa Jf Call tafadhali
Vipi tena?
Gugo hiyo...Kakufundisha nani hilo neno “Tuleho”? [emoji1][emoji1]