Tukijaliwa kesho mpendwa hii mada itaendelea tena ishaalah, usiku mwema ndugu zangu wa like.Sijasoma vizuri mpendwa, nimekuta posts nyingi sana hivyo ilibidi nianze kulipa madeni ya likes za watu fasta fasta
Duh!!Ushawahi kukutana na demu anakwambia anasomaga chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi:
“Za hasubui Lichadi, Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?”
[emoji16]
And all other brands will come close, tech inakua kwa kasi sana lazima kwenda sawa na upepoAlmost all the Nissans now are keyless...
Hawezi kumiliki iPhone kwa vile hana uwezo au kwa vile hataki? Fafanua bro [emoji16][emoji16][emoji16]...Mtu hawezi hata kumiliki iPhone wanini sasa [emoji51] [emoji51] [emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]