Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kana issues kanapambana nazo naona. Tunza hiyo zawadi kakija ukape...
Kwanini asianze kutoa mtoa mada?!Anza kutoa wewe mkuu
Nami niwaage wakuu. Thanks for the laughs. Niko safarini leo na kampani yenu hapa imefanya masaa yaende kwa kasi. Kesho tena Mungu wetu Akipenda. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1116981
Usiku mwema kwenu,Guys mimi pia wacha nipumzike.
Nawatakia usiku mwema.
Aisee maraia wote mnaaga. Dah!
Au na mimi niage nini[emoji13][emoji13]Aisee maraia wote mnaaga. Dah!
I see you β
Aisee usifanye hivyo tafadhali endelea kuepo ππAu na mimi niage nini[emoji13][emoji13]
Nilipanda Arusha eti niwahi mazishi kidogo jamaa anidondoshe. Hata helmet hakuwa nayo. Kuanzia hapo nikawa keafu. Ni afadhali ya Bajaji japo nazo mnaweza kuparamiwa na wenye magari mkabondeka bondeka...
Hapana mkuu
Tuombe Mungu siku moja itokee π
πππHapana sisi bado tupo tunapiga zile ngoma za daku kula mtaani saa hii. Andaa tu angalau kekundu kamoja hivi, tunakaribia mitaa hiyo! [emoji1][emoji1]