Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,601 “Jifunze kusema ‘hapana’ kwa mazuri ili uweze kusema ‘ndiyo’ kwa bora.” John C. Maxwell
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,602 Hukufanya kuonekana mtu mwenye msimamo Tutatambua vipi msimamo wako ikiwa wewe unakubali kila kitu? Ni muhimu kusema hapana ili watu watambue kuwa una masimamo fulani ambao hauwezi kuuacha.
Hukufanya kuonekana mtu mwenye msimamo Tutatambua vipi msimamo wako ikiwa wewe unakubali kila kitu? Ni muhimu kusema hapana ili watu watambue kuwa una masimamo fulani ambao hauwezi kuuacha.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,603 Ikiwa kuna jambo au kitu ambacho hukipendi, basi tumia buasara kusema hapa ili watu waheshimu msimamo wako.
Ikiwa kuna jambo au kitu ambacho hukipendi, basi tumia buasara kusema hapa ili watu waheshimu msimamo wako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,605 Kwa mfano ikiwa wewe hutumii pombe au sigara, basi sema wazi hapa kwa vitu hivi hata kama hutamfurahisha unayempa jibu hilo.
Kwa mfano ikiwa wewe hutumii pombe au sigara, basi sema wazi hapa kwa vitu hivi hata kama hutamfurahisha unayempa jibu hilo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,606 Hukufanya kuonekana mtu mwenye msimamo Tutatambua vipi msimamo wako ikiwa wewe unakubali kila kitu? Ni muhimu kusema hapana ili watu watambue kuwa una masimamo fulani ambao hauwezi kuuacha.
Hukufanya kuonekana mtu mwenye msimamo Tutatambua vipi msimamo wako ikiwa wewe unakubali kila kitu? Ni muhimu kusema hapana ili watu watambue kuwa una masimamo fulani ambao hauwezi kuuacha.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,607 Hufanya mawazo yako yaheshimike Watu wataheshimu mawazo yako kama unayabainisha na kuyatetea wazi. Kusema hapana ni njia ya kuonyesha aina ya mawazo uliyonayo.
Hufanya mawazo yako yaheshimike Watu wataheshimu mawazo yako kama unayabainisha na kuyatetea wazi. Kusema hapana ni njia ya kuonyesha aina ya mawazo uliyonayo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,608 Tumia hekima na busara kupinga mawazo yale ambayo wewe huyataki; moja kwa moja wale unaowaeleza wataweza kutambua wazi mawazo yako na kuyaheshimu.
Tumia hekima na busara kupinga mawazo yale ambayo wewe huyataki; moja kwa moja wale unaowaeleza wataweza kutambua wazi mawazo yako na kuyaheshimu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,609 Hukuokolea fedha na muda “Kama kweli unataka kuwa mtumiaji mzuri wa muda, unatakiwa kujifunza kusema hapana kwa watu wengine na kufanya hivyo mara kwa mara.” Sunday Adelaja
Hukuokolea fedha na muda “Kama kweli unataka kuwa mtumiaji mzuri wa muda, unatakiwa kujifunza kusema hapana kwa watu wengine na kufanya hivyo mara kwa mara.” Sunday Adelaja
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,610 Unaposema hapana utaepuka mambo na tabia mbalimbali ambazo zinaweza kukupotezea muda na pesa nyingi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,611 Ni muhimu kusema hapana kwa maswala kama vile pombe, uzinzi, matumizi mabaya mitandao ya kijamii, uzururaji, n.k.
Ni muhimu kusema hapana kwa maswala kama vile pombe, uzinzi, matumizi mabaya mitandao ya kijamii, uzururaji, n.k.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,612 Hukuwezesha kufikia ndoto na maono yako Ili tuweze kufikia ndoto zetu tunahitaji kuepuka mambo mbalimbali yasiyoendana na ndoto au maono yetu.
Hukuwezesha kufikia ndoto na maono yako Ili tuweze kufikia ndoto zetu tunahitaji kuepuka mambo mbalimbali yasiyoendana na ndoto au maono yetu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,613 Kwa njia ya kusema hapana unaweza kuondoa mambo yote ambayo kwa namna moja au nyingine hayakuwezeshi kutimiza ndoto au maono yako.
Kwa njia ya kusema hapana unaweza kuondoa mambo yote ambayo kwa namna moja au nyingine hayakuwezeshi kutimiza ndoto au maono yako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,614 Ka njia ya kusema hapana unaweza kuondoa mambo yote ambayo kwa namna moja au nyingine hayakuwezeshi kutimiza ndoto au maono yako.
Ka njia ya kusema hapana unaweza kuondoa mambo yote ambayo kwa namna moja au nyingine hayakuwezeshi kutimiza ndoto au maono yako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,615 Inaweza kuwa ni mtu, kazi, tabia n.k. ambavyo haviendani na ndoto zako; hivo ni muhimu kusema hapana.
Inaweza kuwa ni mtu, kazi, tabia n.k. ambavyo haviendani na ndoto zako; hivo ni muhimu kusema hapana.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,616 Naamini umeona jinsi jibu dogo la “Hapana” lilivyo na nguvu kubwa katika maisha yako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,617 Ni muhimu kufahamu kuwa mtu mwenye malengo ni lazima aweze kusema hapana kwa vitu, watu,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2019 #963,618 tabia au kazi ambazo hazimuwezeshi kutimiza malengo yake. Je wewe huwa unasema hapana?
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jun 4, 2019 #963,619 09:18
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jun 4, 2019 #963,620 09:54