Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo siku kama nilikuepo hivi kuna pic aliweka nikahisi ndio yeye ila hiyo pic nahisi Cole aliichukua mana alikuja kuirepost siku nyingine. Kama nitakua sahihi
Sijawahi kuweka picha yangu humu. Mtu pekee hapa kwenye uzi aliyewahi kufanya hivyo ni the One and Only One...japo nadhani hakuna aliyebahatika kuinyaka mbali na mlengwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…