Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23][emoji23][emoji23]Mgumu bana
Dah hata maua hakuna Poti unataka mpunga tu?Tuliokaa mkao wa kusubiria mwaliko/mialiko tukutane hapa! [emoji1][emoji1]
Subiri christmass. Saiv zamu ya akina hawachi,fragaria,moud,davet,ningeEmbu rusha li invitesheni hapo! [emoji1][emoji1]
Dah hata maua hakuna Poti unataka mpunga tu?
Coco nitumie picha inbobo sisemi...Katukosesha ubuyu
Sikukuu ya Idi unagawa zawadi kwa wafungaji wa mwezi mzima kwanza!Ubwabwa kwanza poti! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]full furahaππππ
Usione nimekausha na mimi nautaka huo ubuyu πππCoco nitumie picha inbobo sisemi...
Eid Mubarak Davet.. naona umeianza kwa shoooππππ
π€£π€£π€£π€£ Kusutwa sunna!Usione nimekausha na mimi nautaka huo ubuyu πππ
Siku hizi nikitaka kuingia humu ndani lazima niwe peke yangu maana huwa nacheka sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]full furaha
Na kwako pia Fraggy!Asante Coco..Eid Mubarak
[emoji23][emoji23] hapana sio langu ila nimeambiwa limefanana na la Babe wake DavetKg.. Hilo guu lako wifiii?
Na siku hizi umekua our main topic kila dakika unaibua jipya[emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi nikitaka kuingia humu ndani lazima niwe peke yangu maana huwa nacheka sanaaa
Nawapenda Mpendwa ila kesho iwe maalumu kwa ajili yetu mpendwa.Jamanii ukipenda boga penda na uwa lake πππ
Minalfaidhinah! Fragaria.....Eid Mubarak Davet.. naona umeianza kwa shooo
Kusuntwa maelekezo,ubuyu sunna[emoji23][emoji23][emoji23]π€£π€£π€£π€£ Kusutwa sunna!