Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mwambie akufundishe...Sikifamu yes, ila napendaga ngosha mmoja anavyokiongea [emoji38]
Ni kweli kabisa,Ni vizuri sana kuongea zaidi ya lugha moja. Ukiachana na hiyo lugha iliyokuja kwa meli.
Kuna mrembo nilimmiss hapa, nashukuru nipo sawa tayari.Asante bro...Na kwako pia.
Nimeona umesema you are not happy. Nini shida?
Pole!Am not happy.
Capitapool mpendwa mimi hata sielewi nimejibu ile comment kiutani ππππni wapi huko Hawachi?
mhh!Capitapool mpendwa mimi hata sielewi nimejibu ile comment kiutani ππππ