Usione nimekausha na mimi nautaka huo ubuyu [emoji3][emoji3][emoji3]
Siku hizi nikitaka kuingia humu ndani lazima niwe peke yangu maana huwa nacheka sanaaa
Ndio maana nakupenda Mpendwa wangu Hawachi😘Hata kama ukisusa naleta nyumbani pilau
Naam nawe piaGuys Nawatakieni Usiku Mwema.
Eid Mubarak Kwenu woote! Hongereni kwa kumaliza mfungo pia.
Mimi zaidi mpendwaNdio maana nakupenda Mpendwa wangu Hawachi😘
HahahahaHahaha, Ubuyu[emoji849]
kesi yake miaka 30[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1117959
Salaam.. Eid MubarakSalaam Bibie