Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Umepiga mulemule jirani. Shukrani sana, nitakaribia. Tutaanza na chai kwa egg chop pale U-Tea Shop. Huo msikiti siyo mdogo jirani, kwa nini isiwe kwenye Msikiti wa Ijumaa pale Kitumbini? [emoji1]
Hii ni dar mkuu au mkoa
Bro nakuona unanipeperushiwa ndege wangu 😀 😀
Mtafute andaeitini Yegomasika atakuleta mpaka mlangoni
Salaam.. Eid Mubarak
Definitely NOT