Doh! Suicidal heart
Wapi Beef Lasagna & mzee wa liver
Beef Lasagna huwezi kumuona humu saa hizi, yuko busy kuandaa mahanjumati Na mapochopocho ya asubuhi na mchana watu wakitoka kwenye sala ya Eid tu wajichane kwa raha zao.
Mungu atupe afya na uzima
Mungu atupe siku njema
Salama kabisa kiongozi, tunaendelea vizuri. Eid Mubarak..Habari za masiku mkuu