Kutembea au kukaa na vitu vya gharama kubwa
Wahalifu wapo kila mahali duniani. Kutembea na vitu vya gharama kama vile pesa nyingi, simu, au hata vito vya thamani, kunaweza kuvutia wahalifu.
Ikiwa hakuna umuhimu wa kubeba vitu hivi uwapo katika nchi ya kigeni, basi viache mahali salama.