mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
😂😂😂😂 mnataka mnipe scandal chafu sio?Aaah na wewe ungeuchuna tu watu tule ubuyu hahaha
Minalfaidhina mkuu,,Eid Mubarak pia!!Salama kabisa kiongozi, tunaendelea vizuri. Eid Mubarak..
13 Hours The Secret Soldiers Of BenghaziLone Survivor (Based on true story)
Bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnataka mnipe scandal chafu sio?
Leo nitashinda humu siku nzima
Kanzu nyingi leo barabarani wanatisha mtu hutembei kwa amani unajua traficNawe pia bwana jezi. Kama nakuona ndani ya kanzu yako mpyaaaa na baragashia
Eti wanasema leo Eid naizindua kwa Shoo hivyo nikipotea tu wanajua tayari nanywesha mtu uji 😀Bro
Kwani kuna nini kinaendelea??nitonye naweza kukutetea [emoji23][emoji23][emoji23]
Eid Mubarak bro!!
Minalfaidhinah Bro... Kama nakuona 😂Bro
Kwani kuna nini kinaendelea??nitonye naweza kukutetea [emoji23][emoji23][emoji23]
Eid Mubarak bro!!
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani uongo bro???ni kweli walisemalo[emoji23][emoji23][emoji23]Eti wanasema leo Eid naizindua kwa Shoo hivyo nikipotea tu wanajua tayari nanywesha mtu uji [emoji3]
HahahahahaKanzu nyingi leo barabarani wanatisha mtu hutembei kwa amani unajua trafic
ha ha ha,,kama unaniona navyopuyanga na hii kanzu eeh,,kama trafic hahaMinalfaidhinah Bro... Kama nakuona [emoji23]
Bro
Kwani kuna nini kinaendelea??nitonye naweza kukutetea [emoji23][emoji23][emoji23]
Eid Mubarak bro!!