Na kwako pia mkuuEid mubarak guys!!
Nawe pia bwana jezi. Kama nakuona ndani ya kanzu yako mpyaaaa na baragashiaEid mubarak guys!!
Bila shaka hii tag ni ya mualiko mpendwa,,[emoji125][emoji125]
Karibu ugali maharageMwaliko jamani. Fanyeni kweli..
Poa baba wawili. Mzima?Mambo.
Mkuu nipe location kaklab gn naweza kuenjoy Ed hii maana nazoend sijui mbovuHahah! Capital mjanja mjanja sana...
Vipi harakati mzeiya?
Nakuja ndio chakula changu pendwaKaribu ugali maharage
Ha ha ha umejuaje binti mpole,,kanzu inawaka hatari,leo zile salamu zetu za swaleku(wadigo) zipo za kutosha...Nawe pia bwana jezi. Kama nakuona ndani ya kanzu yako mpyaaaa na baragashia