Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ha ha ha umejuaje binti mpole,,kanzu inawaka hatari,leo zile salamu zetu za swaleku(wadigo) zipo za kutosha...

Karbu Luchelele uje ujilie pilau safi kabsa[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu sasa hio inayowaka ni shida wakati wa kuufinya unajitahidi isiache doa ili ukipata mualiko mwingine wasijue ushafinya sehemu

[emoji125][emoji125]nakujaaa
 
Back
Top Bottom