Hahahaha ha ha,,kama unaniona navyopuyanga na hii kanzu eeh,,kama trafic haha
Au umemaanisha nn bro[emoji23]
hahahaha inakuwa tabu kweli kweli,inatakiwa uwe makini,ni mwendo wa kutupia vinyago za nyama pekee na kapilau kidogoHalafu sasa hio inayowaka ni shida wakati wa kuufinya unajitahidi isiache doa ili ukipata mualiko mwingine wasijue ushafinya sehemu
[emoji125][emoji125]nakujaaa
Hahaha numbisa bhana,,ni Kaifa unaitikia TwaibuHumu nimejifunza
Taita unaitikia twaibu
Minalfaidhina
Kiwanja bomba sanaUpo mitaa gani bro? Kama vipi tokea pale Tabata (Micasa)
Kwema mkuu??[emoji2][emoji2]Hahaha
Basi nenda Sinza pale La ChazMicasa,club 71,royal,Trinity, Livingstone, forty forty, the great ,ambiance, next door,defrance,savvana Darlive, naona pamepoa maybe kuna location nyingine pamechangamka tofaut na nlzotaja.
Kwema mkuuKwema mkuu??[emoji2][emoji2]
Hahahaha hujambo bibieTafadhali ukialikwa Eid nenda kale halafu sepa. Mambo ya kusumbua watoto wa aliekualika mara nihesabia hadi 10, mara nitajie table ya 6 HATUTAKI [emoji1787][emoji1787]
Oyoooooooooh! 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]kama ndani ya Muscat vile..vile marashi yanavyonukia
Sijambo. Habari yako mzee wa liver?Hahahaha hujambo bibie
Poapoa.Basi nenda Sinza pale La Chaz
ha ha ha usipime bro,kwa manukato haya T.A sihami[emoji23][emoji23][emoji23]
Nzuri hiyo movie mkuu..13 Hours The Secret Soldiers Of Benghazi
Duh! Ushazoom tukio jingine jameni 😀😀Aiseee bae wao kumbe unamiliki tumiguu tunne
Nzuri IDD inasemajeSijambo. Habari yako mzee wa liver?
Aaah! Niache tu nishinde humu wala usinishauri kupoteaAiseee inabidi ukatafute kozi kwa gwaji mwenzio anajisifia kabisa alivyo mtaalamu hahahaha
Uwiiii usije kula mtoso kijana wa watu potea tu tujua umepata dharura hahahaha