😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] ulijuaje tatizo narefuka utumbo tu saiv
Yaan haka ka wimbo we acha tu, huwa kananibariki sana.Huo mshangao una excitement....ya kuwa fan namba 3 wa huo wimbo...
kwema mkuu naona unazidi kuzisakaTupo kamanda. Kwema?
Najua....ila...
Hata mimi nimeliona hiliTotoz zisipokuwepo unakuwa na muda wa kusoma magazeti na kutoa ushauri wa busara sana.
Stay away from totoz !!!
ISIS kulikon tunatajana kwenye kifo jana?????Morning
Utafika tuNiko 7hrs ago huko mbele sijui ntafika sa ngap na majukum yanaita