Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Bro maswali yako yamekaa kichochezi sana leo,
Wacha nimalizie kinywaji Bro.
Karibu hapa kona ya kwa kina Hawachi naona kafika!
Bro endelea tu na safari zako, Hawachi anatania tu😀😀Naomba kufahamishwa Hawachi tunaelekea wapi. Ndiyo nimeingia huku sasa hivi sijui kinachoendelea.
HahahahaBro endelea tu na safari zako, Hawachi anatania tu😀😀
Hapa kuna maji laini ya zabibu kwa wingi Bro, karibu sana!Maji ya dhahabu yanapatikana hapo au ni juice Tu ??? Amna bro niko tu na shauku ya kumjulia hali yake
Eid mubarak guys!!
Hahahaha kama BAK hataki naenda na Mwengine we unakwepa maswali ya Cole WilliamsUsinifanyie hivyo buana,..
Mpendwa wangu nimejibu yote!!Hahahaha kama BAK hataki naenda na Mwengine we unakwepa maswali ya Cole Williams