D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nimebaki kucheka peke yangu kama niliyeokota hundi ya billioni 1.Halafu kama Ghost wake yupo nasi hivi..
Kwema Carba ila tumemiss uwepo wako kwa muda mrefu humu, Mungu akufanyie wepesi mambo yako yapungue[emoji23][emoji23][emoji23]aya bhana.
Kwema lakin bae wa uzi?
Nipo kwa kuiba iba tu leo,Nzuri sana TH.
Nlidhani hutokuwa hapa Leo!
[emoji7]
ππππMwenye msosi anajijuaView attachment 1118820
[emoji23][emoji23][emoji23]msosi huoππππ
Nipo mbona πNimeidaka sehemu king mswati kaandaliwa si waona kapotea humu yupo busy kuufinya
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseee wiki ijayo tutakuachia nafasi upate kahewa maana umetrend ndani ya uzi huuNipo mbona π
Watu wabunifu sana ππ[emoji23][emoji23][emoji23]msosi huo
ππ[emoji23][emoji23][emoji23]aiseee wiki ijayo tutakuachia nafasi upate kahewa maana umetrend ndani ya uzi huu
#hopehutakoseatenakutumapicha
π π π ππππππππππππππππππππππππππππππππππππ bro bhana
Tumerudi bro.Aisee π
Alhamdulillah tumemaliza kwa Amani na salama mwezi mtukufu
Ni wakati muafaka sasa kutumia Yale yoote mazuri tuliyojifunza mwenzi wa Ramadhani