[emoji137]Nimekuja kupokea Eid pili,
Habari ya sikukuu BAK
Inapendeza.Namshukuru Mwenyezi Mungu The Happiness. Eid pili poa kabisa furaha, amani na utulivu kwa sana. Sawa kama hutoki leo nikupitishie nyumbani [emoji41][emoji41][emoji41]
Umekula eid mwenyewe, hata mwaliko sijapataHahah!
Sema under18
Inapendeza.
Nyumbani kufanya nini, twende hotel bwana[emoji13]
Hahahaaaaa...Mkuu niaje mkuu mkuu
Habari za masiku tele mm mzima wa afya kabisa hapa napata bapa kam kawaida
Hahah,Nilidhani napitisha Eid pili tu [emoji41][emoji41][emoji41]chagua uipendayo.
M
One love bro