Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nitajikita jukwaa hili zaidi pametulia mno
humu ndani ni full raha no vita no stress.
utakutana na jay z wa tz nadhani ushamfahamu
utakutana na playmaker kila pahali yupo kama ronaldo
utakutana na mmarekani mweusi aliyelelewa tanzania muda wote, cha ajabu kiswahili hajui sana kuliko kiingilishi
utakutana na server, tafdhali andika kwa umakini ili kaburi lisifukuliwe
utakutana na mzee wa coding a.k.a iphone giftii
utakutana na mkorea mweusi, a.k.a mzee wa mautani mengi, kama huwezi utani wake usimpe likes
utakutana na mzee wa poleni wafanyakazi, wazazi, abiria. muda si mrefu atakuja humu ndani kutoa pole.
kuna mmoja ana mwaka mmoja hajaingia humu ndani lakini cha jabu likes zake zinaongezeka, roboti la mbao kutoka kolomijeeee
 
Hahaha shukrani mkuu kwa huu ufafanuzi maridhawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha aiseee hizo series ningepata bahat nazo ingekua raha full kuwatch movies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…