Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
humu ndani ni full raha no vita no stress.
utakutana na jay z wa tz nadhani ushamfahamu
utakutana na playmaker kila pahali yupo kama ronaldo
utakutana na mmarekani mweusi aliyelelewa tanzania muda wote, cha ajabu kiswahili hajui sana kuliko kiingilishi
utakutana na server, tafdhali andika kwa umakini ili kaburi lisifukuliwe
utakutana na mzee wa coding a.k.a iphone giftii
utakutana na mkorea mweusi, a.k.a mzee wa mautani mengi, kama huwezi utani wake usimpe likes
utakutana na mzee wa poleni wafanyakazi, wazazi, abiria. muda si mrefu atakuja humu ndani kutoa pole.
kuna mmoja ana mwaka mmoja hajaingia humu ndani lakini cha jabu likes zake zinaongezeka, roboti la mbao kutoka kolomijeeee
Muone [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha aiseee hizo series ningepata bahat nazo ingekua raha full kuwatch movies
cha ajabu mwenzenu hapendi movies, kweli binadamu wanatofautiana kitabia.Hahahaha aiseee hizo series ningepata bahat nazo ingekua raha full kuwatch movies
Huyu Mzee wa Kikerewe amekipataje hiki cheo cha u Jei Zi wa Tanzania? Ni ubilionea (wa maForex), muziki, kuoa mke mkali (the One and the Only One) ama nini?
Hana lolote huyo. Kuna siku atajichanganya akutane na King Mswati ndo atakuja humu tena kuanzisha uzi mwingine kulalamika. Hawaelewekagi hawa!!!cha ajabu mwenzenu hapendi movies, kweli binadamu wanatofautiana kitabia.
shida yake agegedwe muda wote kama kuku
mfanya biashara wa madini, uyo member mpya humu ndani amechapia.Huyu Mzee wa Kikerewe amekipataje hiki cheo cha u Jei Zi wa Tanzania? Ni ubilionea (wa maForex), muziki, kuoa mke mkali (the One and the Only One) ama nini?
Nauliza kama mtunza kumbukumbu wa uzi
mkuu acha masihara yako
vipi umeme usharudi huko kwenu?Hahahahaha, namba tunaisoma si haba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]