Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati huohuo,United itatangaza kiungo wa kati wa Sporting Lisbon na ureno Bruno Fernandes, 24,kuwa mchezaji wa kwanza kusaini kuichezea timu hiyo baada ya fainali za kombe la mataifa ulaya. (Star)
 
Fenerbache wameingia kwenye kinyang'anyiro kumsajili mshambuliaji wa West Bromwich Albion Salomon Rondon.Mchezaji huyo mwenye miaka 29 anahitajika na Wolves na Newcastle,ambapo alitumia msimu uliopita (Ajansspor, in Turkish)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…