Maneno ya busara sana haya bro...Sijafikia hatua ya kuitwa boss na mimi nikaitikia ndio, ila ninauwezo wa kumpa maji yeyote alie na kiu
Tena huyu ukijumlisha na matukio yake nje ya uwanja ndio basi tena, nasikia Yule mwanadada kaachia picha na hizo video akiwa na jamaaNeymar kama bale tu glass zinazotakiwa kutunzwa kwa ajili ya wageni tu siku maalumu mida maalumu mahali maalumu
Sasa SYB Umekomesha jamani[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Naona umeandika videsa vya kutosha [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukunu dulimhola. Ginehukwene? Mlimhola? Ungoshi wako alimhola?
Wabeja...
Kijana mjinga sana bora angebaki barca tu akajifunza soka zaidi kwa messi kuliko starehe anazoziendekeza saivTena huyu ukijumlisha na matukio yake nje ya uwanja ndio basi tena, nasikia Yule mwanadada kaachia picha na hizo video akiwa na jamaa
🙏🙏Maneno ya busara sana haya bro...
Kimbia tena kwa ngosha ukaulizie [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa SYB Umekomesha jamani[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Commando...