Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
True Lies?
True Lies?
Mikono hiyo ni yako Bro?Mdundulizo wa kununulia iPhone. Michango yenu bado inahitajika [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1119923
Ndiyo chenyewe....Kidole gumba bro[emoji23]
Penye nia njia ipo bro kila lakheriBado kabisa bro. Ngoma bado mbichi. Natageti Oktoba au Novemba. Mdundulizo unaendelea...[emoji16]
Anakwambia alipo hawajamboSasa SYB Umekomesha jamani[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Dulimhola gete ukunu, nungoshone alemhola duhu.Kimbia tena kwa ngosha ukaulizie [emoji16][emoji16][emoji16]
Umenifurahisha sana leo.
ASANTE [emoji106][emoji106]
Ya CR7 ilifutwa. Binti alienda kufuta madaiHivi mtu na hela zote zile kuna haja kweli ya kubaka? Au ni ile mnakubaliana na demu halafu baadaye anakugeuka baada ya kuona kuwa anaweza kupiga hela ndefu akikusingizia ubakaji? CR7 naye anaandamwa na kashfa hii huko California (kama sijakosea)
Sis uwiiiii !!!Mikono hiyo ni yako Bro?
Google wako yupo vizuri hahahaaDulimhola gete ukunu, nungoshone alemhola duhu.
Ginehe unkeoko, alemhola?
Atakuwa alilipwa pesa ndefu...set for life...Ya CR7 ilifutwa. Binti alienda kufuta madai
Umeona eeeh!?Google wako yupo vizuri hahahaa