Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanajilengesha ama?Mara nyingi inakuaga wale wanawake ndio wanatengeneza mazingira ili wapige pesa tu
Kwa sababu wanakuwa na ushahidi wa picha/video na DNA...
Wanajilengesha ama?Mara nyingi inakuaga wale wanawake ndio wanatengeneza mazingira ili wapige pesa tu
mmarekani mweusi mida yake mara nyingi ni mwanzoni mwa usiku wa manane si unajua kuna utofauti mkubwa sana wa muda kati ya california na kolomijee.Mbali na huyo Play Maker, Mimi code zimegoma kwa Mmarekani Mweusi na Server [emoji16][emoji16][emoji16]
Esta shhhh !!! [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Anakwambia alipo hawajambo
Kwenu wazima?,bae wako hajambo?
Bado mnasherehekea Idd ama?
Mbona kimya? Au ni hekaheka za kurudi majumbani kutoka job?
Poleni mnaotoka makazini
Poleni mlio kwenye foleni
Poleni mlio kwenye daladala
Poleni mliofika nyumbani
(Pole hizi zote ni kwa hisani ya Jirani [emoji16][emoji16][emoji16])
Biki wa kati wa Liverpool na Uholanzi Virgil van Dijk, 27, anataka kusaini dili jingine Anfield. (ESPN)
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mmarekani mweusi mida yake mara nyingi ni mwanzoni mwa usiku wa manane si unajua kuna utofauti mkubwa sana wa muda kati ya california na kolomijee.
kuhusu bwana server kiukweli sina ugomvi naye japokuwa mzee wa tottenham hotspurs ananitengenezea ugomvi wa lazima.
View attachment 1119956
Shwaiiiiniii [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1119856
Inawezekana wasijilengeshe ila wakapata idea wakiwa tayari wameshakubaliana na mipango ya video na picha ikaanza kazi bila majamaa kujua kua mrembo yupo kwenye missionWanajilengesha ama?
Kwa sababu wanakuwa na ushahidi wa picha/video na DNA...
Manchester United wako tayari kukataa ofa yeyote kwa kiungo wa kati Paul Pogba, 26. (Mail)
Jirani mpole sana hana neno na mtu. Sana sana atapenyeza tumaneno twa chini chini tu kifalsafa halafu huyoo anakwenda zake [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha, umepata kibali cha jirani ama...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kingosha chake kimenyooka sana. Halafu atakuwa mitaa ya kwenyewe Simiyu huyo. Msalimie...Hahaha, acha tu!
Ni Ngosha pure
Eeh ni wa simiyu huyu, yupo hapa anabonga kingosha chake kwenye simu[emoji1]Kingosha chake kimenyooka sana. Halafu atakuwa mitaa ya kwenyewe Simiyu huyo. Msalimie...
Hivi unafahamu bei za haya madini kwa gramu moja?