moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahaha
Weweeee...
Siku akikosea njia agongane na King Mswati mbona mwenyewe atakuja humu kuanzisha siredi ya kulalamika/kuzindua?
Hajui anachokitaka huyo. Kakutana na mstaarabu imekuwa nongwa...