Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wapi hapo?Tuna refreshment Mind,karibuni tupunge Fresh Air..View attachment 1119983
Wapi hapo?Tuna refreshment Mind,karibuni tupunge Fresh Air..View attachment 1119983
"Jeniiiii...!!!"
View attachment 1119959
mbona vizuri hivyo😛😀Vidole vya mkulima wa nyanya navyo mnataka viweje tena jamani? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
The natural pharmacy...
View attachment 1119931
Sapiwi A' Amesomapo hapo wakukaya mwenzako,Sapiwi napafahamu sana. Barabara yetu hiyo tukiwa tunakwenda Ramadi to Musoma/Mwanza. Na hapo Sapiwi A primary niliwahi kaa hapo kwa muda kama miezi mitatu hivi...Ngosha huyo ni wakukaya kabisa
Mkuu hivi vidole vyako?
Huyo jamaa fala. Mkewe alipokuwa ananenepa yeye alikuwa wapi? Hata kama kanenepa, anashindwaje kuuelewa mwili wa mkewe na kwenda naye sawa? Watu tunapambana na majimama ya kufa mtu hulijui mbele wala nyuma lakini mwanaume unahangaika mpaka linabubujika sembuse mai waifu wako kabisa unayemwelewa vizuri? Mtafuta kiki tu huyo hana lolote [emoji36][emoji36][emoji36]SHIMBA YA BUYENZE ushauri wako unahitajika kule![]()
Mke wangu kawa bonge hadi najihisi kama nina kibamia
Huyu mwanamke nilikutana nae miaka 8 iliyopita ,alikua na mwili wa wastani kabisa na nilienjoy penzi lake kwa kila style niliyomuweka Sasa baada ya kupata kazi ya mshahara mnono na kuzaa tena watoto wawili amekuwa bonge balaa na kila siku anazidi kunenepa Mke wangu kawa na kitambi kufanya...www.jamiiforums.com
Aisee mbona issue ya vidole inakua kwa kasi sana hapa jukwaani?Mkuu hivi vidole vyako?