Hiyo Mbona inatosha broMdundulizo wa kununulia iPhone. Michango yenu bado inahitajika [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1119923
Kweli kabisaCommando...
Waliozaliwa wakati picha hili linatamba sasa watu wazima. Time flies....
Kaache kapotee tamaa zake zinakatafunaKijana mjinga sana bora angebaki barca tu akajifunza soka zaidi kwa messi kuliko starehe anazoziendekeza saiv
Bado kabisa bro. Ngoma bado mbichi. Natageti Oktoba au Novemba. Mdundulizo unaendelea...[emoji16]Hiyo Mbona inatosha bro
Hivi mtu na hela zote zile kuna haja kweli ya kubaka? Au ni ile mnakubaliana na demu halafu baadaye anakugeuka baada ya kuona kuwa anaweza kupiga hela ndefu akikusingizia ubakaji? CR7 naye anaandamwa na kashfa hii huko California (kama sijakosea)Kaache kapotee tamaa zake zinakatafuna
Kidole gumba bro[emoji23]Mdundulizo wa kununulia iPhone. Michango yenu bado inahitajika [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1119923