mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mane lavus π¬ π¬ π¬She is goddess
Nduhu ntumami ng'uchane duhuAlengoshiwako?
Nagwitane shemeji?
Kwani issue ya vidole imeanza jana au leo humu ndani bro? Sema siku za karibuni imeongeleka sana kwasababu vidole pia vimeonekana sanaAisee mbona issue ya vidole inakua kwa kasi sana hapa jukwaani?
Hapa wengi si mnajificha makabila yenu mkiogopa kuchekwa/kutaniwa. Mngekuwa mnafunguka tungeshangaa kugundua kwamba kumbe hata wewe ni Msukuma [emoji16][emoji16][emoji16]Hapana Bro,
Ila nilimaanisha hapa jukwaani.
HahahahahaHuyo jamaa fala. Mkewe alipokuwa ananenepa yeye alikuwa wapi? Hata kama kanenepa, anashindwaje kuuelewa mwili wa mkewe na kwenda naye sawa? Watu tunapambana na majimama ya kufa mtu hulijui mbele wala nyuma lakini mwanaume unahangaika mpaka linabubujika sembuse mai waifu wako kabisa unayemwelewa vizuri. Mtafuta kiki tu huyo hana lolote [emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 1120005
Yani naanzaje kua Musuku π¬ π¬ π¬Hapa wengi si mnajificha makabila yenu mkiogopa kuchekwa/kutaniwa. Mngekuwa mnafunguka tungeshangaa kugundua kwamba kumbe hata wewe ni Msukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
Sinsi wei baki kumbuka vile vilishika samaki na vile vilishika external hard disk πNaona vidole vimekuwa ishu hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha usimseme my Queen
Goddess anafanya atakavyo
Naona ishu inakuwa seriousRelax kamanda. Ni utani tu wa hapa. Unakuwa kama vile mgeni tena?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]