The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Amen Amen bageshii🙏🙏Sawasawa bageshi...
Ikalaga mhola. Sebha Agulang'hane siku shose. Numunasapiwi ng'wenuyo...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen Amen bageshii🙏🙏Sawasawa bageshi...
Ikalaga mhola. Sebha Agulang'hane siku shose. Numunasapiwi ng'wenuyo...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kula rushwa barani Afrika ni tendo la kishuja[emoji57][emoji57]Afrika na rushwa ni kama chanda na pete. Kila sekta tena rushwa zile za kijinga tu na kihayawani. Bara la ajabu sana hili wallahi
😀😀😀 hivi kumbe huyu Mswati anaeongelewa humu anahusika na mimi?Ofu kozi...
King Mswati bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Tuna refreshment Mind,karibuni tupunge Fresh Air..View attachment 1119983
Leo umenipost Babe [emoji16][emoji16]
Na kwa sababu hii rushwa haitakaa iishe Afrika !!!Afrika ukitafuna rushwa kisha ukanunua kigari au kanyumba unasifiwa.
Usipokula rushwa kisha kumiliki vitu vya thamani hukubaliki mbele jamii.
Kula rushwa barani Afrika ni tendo la kishuja[emoji57][emoji57]