mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
Amun RaAmani itawale usiku huu
Malaika wa Mungu wakulinde sis....Usiku mwema wapendwa [emoji8][emoji8]
[emoji818][emoji818]
Duh!!Huyo jamaa fala. Mkewe alipokuwa ananenepa yeye alikuwa wapi? Hata kama kanenepa, anashindwaje kuuelewa mwili wa mkewe na kwenda naye sawa? Watu tunapambana na majimama ya kufa mtu hulijui mbele wala nyuma lakini mwanaume unahangaika mpaka linabubujika sembuse mai waifu wako kabisa unayemwelewa vizuri? Mtafuta kiki tu huyo hana lolote [emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 1120005
Hakika bro tumepata taarifa zako za ulipaji madeni humu ndani, umetisha sana kama yule Mkorea wa Zanzibar nae huwa hataki kulaza madeni ata page 50 zikimpita atapitanazo zoteNimemwaga likes kama zote leo, kila mmoja wenu nimempa likes kulingana na post zake tokea saa 6 usiku uliopita.
Hata hivyo nipo fiti, kitecno changu cha tochi hakichoshi
How about meHakika bro tumepata taarifa zako za ulipaji madeni humu ndani, umetisha sana kama yule Mkorea wa Zanzibar nae huwa hataki kulaza madeni ata page 50 zikimpita atapitanazo zote
[emoji109][emoji109]
🙂🙂🙂Leo umenipost Babe [emoji16][emoji16]
SafiiPink Tourmaline, Jiwe lenye thamani kubwa, ukibahatika kupata jiwe hilo tutafutane[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1119960
YapNani mfalme Klopp mwenyewe