Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
IMG-20190531-WA0045.jpeg
 
Utani wa kimakabila si jambo la kukufanya ukimbie kabila lako, nadhani kutokujiamini kwa baadhi yetu.
Nijuavyo kila kabila miongoni mwa makabila yetu lina mapungufu yake.
Ni kujikubali tu
Hapa wengi si mnajificha makabila yenu mkiogopa kuchekwa/kutaniwa. Mngekuwa mnafunguka tungeshangaa kugundua kwamba kumbe hata wewe ni Msukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom