capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Yes Bro, mambo aje?Broo
Sielewi tuhuma dhini ya my lovely queen
[emoji818]
Alikuwa anakesha hapa kwenye Uzi
Relax kamanda. Ni utani tu wa hapa. Unakuwa kama vile mgeni tena?
Upo vizuri pia mzee ukiingia humu unajulikana kwa fujo zako za kusogeza uzi kwa kasi na kugawa upendoHow about me
Origi oyeeee[emoji1787][emoji1787]
Anastahili kuwa na hata One mil likes
Kipindi tukiwa on fire na likes yeye alikuwa anakesha kwenye Uzi huu
Hahahaha japo uzee huu sigongi likes kama mwanzoUpo vizuri pia mzee ukiingia humu unajulikana kwa fujo zako za kusogeza uzi kwa kasi na kugawa upendo
Hahah! Unakula maisha broπππ
Sikutaka mtu ajue hasa Davet.na BAK.
Akija PM niambie ASAP!!
YapTunakumbuka