mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
SawasawaPesa,magari mazuri,majumba mazuri na vitu vyote nikweli vinapita.
Ila hakikisha vinapitia kwako.
Kula maisha muhimu Bro,Hahah! Unakula maisha bro
Huwa unapotea muda mrefu hivyo ukirudi ni ngumu kumaliza pages zoteHahahaha japo uzee huu sigongi likes kama mwanzo
How about me? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Upo vizuri pia mzee ukiingia humu unajulikana kwa fujo zako za kusogeza uzi kwa kasi na kugawa upendo
Ak 47 ukiwa somalia ni muhimu kuliko kula bataKula maisha muhimu Bro,
Pia ni muhimu kujua namiliki AK47 Bro.
Hapa wengi si mnajificha makabila yenu mkiogopa kuchekwa/kutaniwa. Mngekuwa mnafunguka tungeshangaa kugundua kwamba kumbe hata wewe ni Msukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂😂😂😂. Dah
Hakika mkuu nipo likizo kidogo nitawa nanyi kwa muda mrefuHuwa unapotea muda mrefu hivyo ukirudi ni ngumu kumaliza pages zote
Kama kawaidaUsiku wa kupeana raha
[emoji818][emoji818]
Mimi sikuelewa japo nimeona jina langu hapo. Unaweza kunifafanulia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dah
Bro nimecheka sana
Bro unamiliki manati ya Mzungu. Dah ngoja heshima ifuate mkondo wakeKula maisha muhimu Bro,
Pia ni muhimu kujua namiliki AK47 Bro.
Mzee wa data mzee wa kufukua makaburi mzee wa server wewe in hatari zaidi ya dangerHow about me? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hivi mfungo umeisha kwaniPipii za kumumunyaaaa usiku