Mimi sina hatari yo yote...Mzee wa data mzee wa kufukua makaburi mzee wa server wewe in hatari zaidi ya danger
Mimi na wewe hatuwezi kudhuriana kisa mrembo bro, amani itawale kabisaKweli Mfungo umeisha Bro,
Dah! Bae wa UZI naona mbwembwe zimeanza sasa 😬 😬 😬
Shauri ako wewe cheka tuu 😁😁
Nilikuwa nayo moja nikairudisha dukani aisee.Eee nnazo tatu mkuu!
Eee nnazo tatu mkuu!
Natania Bro naona unakua mpole ghafla😀Mimi na wewe hatuwezi kudhuriana kisa mrembo bro, amani itawale kabisa
😂😂
Kwa nini Bro, ilikosa kazi?Nilikuwa nayo moja nikairudisha dukani aisee.
Kweli sio vyema kuleta mazoea na mrembo wako hukawii kunichoresha kwa hao wanao
HahahahaMimi sina hatari yo yote...
Halafu unajua kumbe ni wewe ndiye ulinipachika jina la Server wa uzi. Mkorea wa Zanzibar leo kafukua kaburi mpaka nikashangaa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1120116