Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
FB_IMG_1558119192091.jpeg
 

dah nilikuwa sijui hii ishu mwenzenu kila ninapotembelewa na mchumba wangu aliyenyoa kipara kama mfuasi wa buddha humuwekea tamthilia za kikorea kumbe wanawake wanachukia tabia hiyo.

basi sawa akija tena namkaribisha chakula, then tutaelekea uwanja wa anfield kupiga mechi huku mtasbihi wangu wa kibudha naupachika juu ya kabati.

Numbisa , Fragaria , Hawachi na wengineo anayoyasema mdogo wenu wa kike yana ukweli wowote?

je wanawake wote munapowatembelea wanaume muwapendao munaongozwa zaidi na upepo wa kufanya sexy na si ziara za kushitukiza kama afanyavyo juma pombe maharage ili uweze kupata kufahamu jinsi mwenza wako anavyoishi?

jamani jamani mbona munataka kutufanya wanaume tugeuke mashetani, nawakumbusha tu mvua hazijaisha mpaka muda huu.
munataka kutuongezea kesi za ubakaji mapema yote haya, juzi waziri mkuu amefungua gereza jipya je habari hiyo munayo?
wacha niendelee kutabasamu kama buddha.​
View attachment 1119682
Kwangu sex sio kipaumbele ninapoenda home kwa sweet. Nimejibu swali lako mpendwa
 
Nadhani bara zima limetapakaa malimbukeni, watu wana tamaa ya kumiliki majengo ya thamani lakini vipato vyao haviwaruhusu, wana tamaa ya kumiliki chopa kama Gwajima lakini mshahara wa milioni 3 za serikali hautoshi.
Wana tamaa ya kila kitu lakini hawana uwezo, mwisho wanajiingiza kwenye uhayawani.
Ukifanikiwa unaweza kujiondoa kwenye bara hili
Na kwa sababu hii rushwa haitakaa iishe Afrika !!!
 
Back
Top Bottom