Linatafuna mabinti wakali dah !!!
Duniani hapa hakuna usawa !!!
Angeona vile viganja siku ile bila shaka angekuwa keshaachana na ugumu zamani...
Hawa vijana wako very strategic na wanajua mbinu zote. Lowassa hata siamini kama kweli alienda CHADEMA ili ashinde urais. Hata sijui ni gemu gani Mbowe alicheza pale. Siasa za Afrika hizi hata hivyo ni pasua kichwa na lolote laweza tokea. Mi sishangai tena kwa lolote lile na sina ushabiki aisee...Ngumu sana bro. Siasa za afrika zina mengi. Cheki lowassa kashindwa kutusua alipohamia CDM sababu alihama yeye ila shina na mizizi ilibaki Ccm.
Kama huyu wa mwisho dah mkali balaa...Hata wa King Mswati wetu anasubiri aisee japo wanaweza kutoka droo...Nakwambia huwa wana wa parade mabinti wote wazuri toka vyuoni huko, halafu jamaa lina point tu, yule pale! [emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]. Subiri Prisca atakuelewesha...Poti, vitupie basi nivione. Vilikuwa vya nani, Prisca? [emoji1][emoji1] [emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1120299