Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1120251
 
“Leo hii ukienda kwenye mabenki, kila kitu kimeshuka. Personal lending, mwaka 2015 ilikuwa 25.5%, leo ni 8%. Trade 2015 ilifika 24.6%, leo ni 9%. Manufacturing ilikuwa 30% leo ni 3% na hakuna anayesema. Mwenyekiti, mambo hayapo sahihi”- Peter Serukamba (Mb), CCM​
 
Nafikiri ni muda wa kuaga, lakini katika soka lolote linaweza kutokea. Ndoto yangu ni kucheza Ligi Kuu England, nimeitimiza kwa kucheza hapa kwa miaka saba sasa. Labda sasa ni muda wangu wa kutafuta changamoto mpya,” alisema Hazard.
 
Mbunge mwingine mwenye nongwa huyu kama Bashe na Nape kwa maneno ya chakubanga. 2020 asahau kurudi mjengoni nduli na dikteta wa magogono yuko busy kuimarisha Bunge DHAIFU.

“Leo hii ukienda kwenye mabenki, kila kitu kimeshuka. Personal lending, mwaka 2015 ilikuwa 25.5%, leo ni 8%. Trade 2015 ilifika 24.6%, leo ni 9%. Manufacturing ilikuwa 30% leo ni 3% na hakuna anayesema. Mwenyekiti, mambo hayapo sahihi”- Peter Serukamba (Mb), CCM​
 
NAAM inaonekana itakuwa kivumbi na jasho katika dirisha hili la uhamisho. Habari za chini chini kutoka Hispania zinadai kwamba staa wa PSG, Kylian Mbappe ameandika barua ya kuomba kuuzwa na PSG ili akamilishe uhamisho wa kwenda Real Madrid.
 
Madrid inaonekana kupania kununua mastaa katika dirisha hili la uhamisho baada ya kufungua pochi kubwa kwa mara ya mwisho mwaka 2013 wakati walipomnasa staa wa kimataifa wa Wales, Gareth Bale kutoka Tottenham.
 
Back
Top Bottom