Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama kocha, nataka waendelee (Mbappe na Neymar) lakini hili ni soka. Klabu nyingi zinataka kununua wachezaji na kwa sasa soko la wachezaji kama vile lina wazimu, lakini ukiniuliza kama kocha nitakwambia nataka waendelee kukipiga hapa msimu ujao. Lakini kama hawatakuwepo tutatafuta mbinu nyingine,” alisema Tuchel.