Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha aisee wahenga mmeninukuu vibaya
Tumekunukuu sawasawa kabisa. Kwamba viporo siyo vizuri kwa sababu sijui vinachosha. Nami nimetetea kiporo cha wali maharagwe na chai ya rangi mida ya asubuhi asubuhi. Japo najua huko ninakoenda nitakwenda kusinzia lakini siwezi kukiacha hata iweje [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kumbe huwajui ma-rednecks na ma hillbillies. Wako proud balaa na haya masilaha na ndiko wanamalizia hela zao. Ukisikia mapolisi wameenda kupekua nyumba ya mtu wakaishia kupukutishwa basi ni ishu kama hizi. Unakuta jamaa ana vifaa vikali kuliko hata mapolisi na vyote amevinunua dukani kiihalali kabisa.

#USABaby
Napenda Amani Buana hayo nawaachia wenyewe.
 
1120243
 
Back
Top Bottom