capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hii itakua kambi ya maharamia 😀 😀 😀
Hii itakua kambi ya maharamia 😀 😀 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swali langu naomba unijibu nimeona ile comment yakoKiporo cha wali maharage na chai ya rangi ni habari nyingine aisee. Hapo yaani huniambii kitu [emoji16][emoji16][emoji16]
Umiliki wa bunduki ni haki ya kikatiba kwa kila raia. Japo sheria za matumizi zinatofautiana kutoka jimbo moja kwenda jingine lakini uhalali wa kumiliki bunduki ni kwa kila Mmarekani isipokuwa pengine wale ambao wameshawahi kufungwa jela na wenye ishu za matatizo ya akili japo napo hakuna anayefuatilia sana. Kimsingi ukikorofishana na mtu barabarani assume kuwa ana bunduki na ujiandae kwa lolote !!!
Ni collection ya msela mmoja kule Virginia. Hii mbona kawaida tu. Watu wana collection ya nyumba nzima sembuse hizi?Hii itakua kambi ya maharamia 😀 😀 😀
Watu wengi wanasema hivyo na mimi iliwahi kunitokea hali hii ya uchovu mnoMmh kweli eeh?
Hongera sana ila kiporo si chakula kizuri kwa afya
So ni kwa ajili ya nini? Ama vile tuu kuwa na m-store ya siraha kwake fahari?Ni collection ya msela mmoja kule Virginia. Hui mbona kawaida tu. Watu wana collection ya nyumba nzima sembuse hizi?
Si ishu kivile Hawachi. Nilikuwa narejelea comment yako hii uliyoniambia jana/juzi. Pengine haikutoka vizuri kama nilivyotaka...Swali langu naomba unijibu nimeona ile comment yako
Uwe na wakati mwema Bro,Napumzika, tuonane baadaye
Hayo madini yapo hapo kwako kamanda? Anyway lala salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Napumzika, tuonane baadaye
Hahahaha aisee wahenga mmeninukuu vibayaKiporo cha wali maharage na chai ya rangi ni habari nyingine aisee. Hapo yaani huniambii kitu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe huwajui ma-rednecks na ma hillbillies. Wako proud balaa na haya masilaha na ndiko wanamalizia hela zao. Ukisikia mapolisi wameenda kupekua nyumba ya mtu wakaishia kupukutishwa basi ni ishu kama hizi. Unakuta jamaa ana vifaa vikali kuliko hata mapolisi na vyote amevinunua dukani kiihalali kabisa.So ni kwa ajili ya nini? Ama vile tuu kuwa na m-store ya siraha kwake fahari?